Download lagu BINTI WA KAZI AMUUA MTOTO WA BOSS MWENYE MIAKA MINNE, VURUGU ZAIBUKA NYUMBANI Mp3

BINTI WA KAZI AMUUA MTOTO WA BOSS MWENYE MIAKA MINNE, VURUGU ZAIBUKA NYUMBANI

Uploader: Millard Ayo

Duration: 13 Menit 46.00 detik

Fast Download



Klik kanan dan open LINK new Tab setelah proses convert selesai
Apabila tampil halaman iklan, tutup halaman tersebut Lalu klik kembali Tombol DOWNLOAD MP3/MP4

Deskripsi:

Title: BINTI WA KAZI AMUUA MTOTO WA BOSS MWENYE MIAKA MINNE, VURUGU ZAIBUKA NYUMBANI
Contributing Artist: Millard Ayo
Album: BINTI WA KAZI AMUUA MTOTO WA BOSS MWENYE MIAKA MINNE, VURUGU ZAIBUKA NYUMBANI - Single
Date: 20 September 2021
Duration: 13 Menit 46.00 detik
Type of file: Audio MP3 (.mp3)
Audio Summary: mp3, 44100 Hz, stereo, s16p, 128 kb/s

Binti wa kazi za ndani anayesadikiwa kuwa na umri wa miaka 13 mkazi wa kata ya Moshono jijini Arusha anadaiwa kumuua kwa kipigo mtoto wa boss wake mwenye umri wa miaka minne aliyefahamika kwa jina la Natalia Essau
Kwa mujibu wa Janeth Mroso mama wa marehemu amesema alipigiwa simu na mfanyakazi wake nakuambiwa anaumwa ambapo alipofika alimkuta mtoto wake ameshafariki na alipokaguliwa alikutwa akiwa na majeraha sehemu mbalimbali ikiwemo kichwani
Kwa upande wa kaka mkubwa wa baba wa marehemu amesema majira ya jioni kulitokea vurugu baada ya mama kushauriwa kwenda kwenye maombi ya nabii na kwamba atamrudisha na aliporudi usiku walishindwa kufanya hivyo ambapo shemeji yake alizidiwa nakuzimia lakini baadaye aliweza kuendelea vizuri.
Download Lagu Gratis BINTI WA KAZI AMUUA MTOTO WA BOSS MWENYE MIAKA MINNE, VURUGU ZAIBUKA NYUMBANI di Gudang Lagu - Lagu456, Download Lagu BINTI WA KAZI AMUUA MTOTO WA BOSS MWENYE MIAKA MINNE, VURUGU ZAIBUKA NYUMBANI Mp3 - Lagu Terbaru. Download Lagu BINTI WA KAZI AMUUA MTOTO WA BOSS MWENYE MIAKA MINNE, VURUGU ZAIBUKA NYUMBANI ,Download Video BINTI WA KAZI AMUUA MTOTO WA BOSS MWENYE MIAKA MINNE, VURUGU ZAIBUKA NYUMBANI 3gp Mp4
Click to Install Lagu456.vip